Zaburi 105:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Wakatangatanga toka taifa hadi taifa, Toka ufalme mmoja hadi kwa watu wengine. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Walitangatanga kutoka taifa hadi taifa; kutoka nchi moja hadi nchi nyingine. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Walitangatanga kutoka taifa hadi taifa; kutoka nchi moja hadi nchi nyingine. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Walitangatanga kutoka taifa hadi taifa; kutoka nchi moja hadi nchi nyingine. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 walitangatanga kutoka taifa moja hadi jingine, kutoka ufalme mmoja hadi mwingine. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 walitangatanga kutoka taifa moja hadi jingine, kutoka ufalme mmoja hadi mwingine. Tazama sura |