Zaburi 105:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Walipokuwa watu wawezao kuhesabiwa, Naam, watu wachache na wageni katika nchi, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Watu wa Mungu walikuwa wachache; hawakuwa maarufu, tena walikuwa wageni nchini Kanaani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Watu wa Mungu walikuwa wachache; hawakuwa maarufu, tena walikuwa wageni nchini Kanaani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Watu wa Mungu walikuwa wachache; hawakuwa maarufu, tena walikuwa wageni nchini Kanaani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Walipokuwa wachache kwa idadi, wachache sana na wageni ndani yake, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Walipokuwa wachache kwa idadi, wachache sana na wageni ndani yake, Tazama sura |