Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 104:34 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

34 Kutafakari kwangu na kuwe kutamu kwake; Maana furaha yangu hutoka kwa BWANA.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

34 Upendezwe, ee Mwenyezi-Mungu, na mawazo yangu haya; maana furaha yangu naipata kwako.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

34 Upendezwe, ee Mwenyezi-Mungu, na mawazo yangu haya; maana furaha yangu naipata kwako.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

34 Upendezwe, ee Mwenyezi-Mungu, na mawazo yangu haya; maana furaha yangu naipata kwako.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

34 Kutafakari kwangu na kumpendeze yeye, ninapofurahi katika Mwenyezi Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

34 Kutafakari kwangu na kumpendeze yeye, ninapofurahi katika bwana.

Tazama sura Nakili




Zaburi 104:34
18 Marejeleo ya Msalaba  

Isaka akatoka ili kutafakari shambani wakati wa jioni; akainua macho yake, akaona, kuna ngamia wanakuja.


Bali sheria ya BWANA ndiyo impendezayo, Na sheria yake huitafakari mchana na usiku.


Jisifuni kwa jina lake takatifu, Na ufurahi moyo wao wamtafutao BWANA.


Shuhuda zako nimezifanya urithi wa milele, Maana ndizo changamko la moyo wangu.


Nafsi yangu imezishika shuhuda zako, Nami nazipenda mno.


Mfurahieni BWANA; Shangilieni, enyi wenye haki Pigeni vigelegele vya furaha; Ninyi nyote mlio wanyofu wa moyo.


Na nafsi yangu itamfurahia BWANA, Na kuushangilia wokovu wake.


Pia nitaitafakari kazi yako yote; Nitaziwaza habari za matendo yako.


Nitafurahi na kukushangilia; Nitaliimbia sifa jina lako, Wewe Uliye juu.


Basi utaijua hekima kuwa tamu kwa nafsi yako; Ikiwa umekwisha kuiona; Ndipo itakapofuata thawabu; Wala tumaini lako halitabatilika.


Na roho yangu imemfurahia Mungu, Mwokozi wangu;


Furahini katika Bwana sikuzote; tena nasema, Furahini.


Nikakitwaa kile kitabu kidogo kutoka mkononi mwa malaika yule, nikakila; nacho kikawa kitamu kama asali kinywani mwangu, na nilipokwisha kukila tumbo langu likatiwa uchungu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo