Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 104:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

3 Na kuziweka nguzo za ghorofa zake majini. Huyafanya mawingu kuwa gari lake, Na kwenda juu ya mabawa ya upepo,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 umejenga makao yako juu ya maji ya mbingu. Umeyafanya mawingu kuwa gari lako; waruka juu ya mabawa ya upepo,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 umejenga makao yako juu ya maji ya mbingu. Umeyafanya mawingu kuwa gari lako; waruka juu ya mabawa ya upepo,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 umejenga makao yako juu ya maji ya mbingu. Umeyafanya mawingu kuwa gari lako; waruka juu ya mabawa ya upepo,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 na kuziweka nguzo za orofa yake juu ya maji. Huyafanya mawingu kuwa gari lake la vita, na hupanda kwenye mabawa ya upepo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 na kuziweka nguzo za orofa yake juu ya maji. Huyafanya mawingu kuwa gari lake, na hupanda kwenye mbawa za upepo.

Tazama sura Nakili




Zaburi 104:3
10 Marejeleo ya Msalaba  

Akapanda juu ya kerubi akaruka; Naam, alionekana juu ya mabawa ya upepo.


Ningezitwaa mbawa za asubuhi, Na kukaa pande za mwisho za bahari;


Msifuni, enyi mbingu za mbingu, Nanyi maji mlioko juu ya mbingu.


Ufunuo juu ya Misri. Tazama, BWANA amepanda juu ya wingu jepesi, anafika Misri; na sanamu za Misri zinatikisika mbele zake, na moyo wa Misri unayeyuka ndani yake.


Yeye ndiye avijengaye vyumba vyake mbinguni, na kuweka misingi ya kuba yake juu ya nchi; yeye ndiye ayaitaye maji ya bahari, na kuyamwaga juu ya uso wa nchi; BWANA ndilo jina lake.


BWANA si mwepesi wa hasira, ana uweza mwingi, wala hatamhesabia mtu mwovu kuwa hana hatia kamwe; BWANA ana njia yake katika kisulisuli na tufani, na mawingu ni mavumbi ya miguu yake.


Yesu akamwambia, Wewe umesema; lakini nawaambieni, Tangu sasa mtamwona Mwana wa Adamu ameketi katika mkono wa kulia wa nguvu, akija juu ya mawingu ya mbinguni.


Hapana aliyefanana na Mungu, Ee Yeshuruni, Ajaye amepanda juu ya mbingu ili akusaidie. Na juu ya mawingu katika utukufu wake.


Tazama, yuaja na mawingu; na kila jicho litamwona, na hao waliomchoma; na makabila yote ya dunia yataomboleza kwa ajili yake. Naam. Amina.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo