Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 103:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

1 Ee nafsi yangu, umhimidi BWANA. Naam, vyote vilivyo ndani yangu Vilihimidi jina lake takatifu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Ee nafsi yangu, umsifu Mwenyezi-Mungu; nafsi yangu yote ilisifu jina lake takatifu!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Ee nafsi yangu, umsifu Mwenyezi-Mungu; nafsi yangu yote ilisifu jina lake takatifu!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Ee nafsi yangu, umsifu Mwenyezi-Mungu; nafsi yangu yote ilisifu jina lake takatifu!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Ee nafsi yangu, umhimidi Mwenyezi Mungu. Vyote vilivyo ndani yangu vilihimidi jina lake takatifu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Ee nafsi yangu, umhimidi bwana. Vyote vilivyomo ndani yangu vilihimidi jina lake takatifu.

Tazama sura Nakili




Zaburi 103:1
19 Marejeleo ya Msalaba  

Mhimidini BWANA, enyi matendo yake yote, Mahali pote pa milki yake. Ee nafsi yangu, umhimidi BWANA.


Ee nafsi yangu, umhimidi BWANA. Wewe, BWANA, Mungu wangu, Umejifanya mkuu sana; Umejivika heshima na utukufu.


Haleluya. Nitamshukuru BWANA kwa moyo wangu wote, Barazani pa wanyofu wa moyo na katika mkutano.


Nitakushukuru kwa moyo wangu wote, Mbele ya miungu nitakuimbia zaburi.


Ee Mungu wangu, Mfalme, nitakutukuza, Nitalihimidi jina lako milele na milele.


Maana Mungu ndiye mfalme wa dunia yote, Imbeni kwa zaburi.


Nafsi yangu itakinai kama kushiba mafuta na vinono; Kinywa changu kitakusifu kwa midomo ya furaha.


Na walisifu jina lake kuu litishalo; Ndiye mtakatifu.


Wakaitana, kila mmoja na mwenzake, wakisema, Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu, ni BWANA wa majeshi; dunia yote imejaa utukufu wake.


Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.


Imekuwaje, basi? Nitaomba kwa roho, tena nitaomba kwa akili pia; nitaimba kwa roho, tena nitaimba kwa akili pia.


Na hii ndiyo dua yangu, kwamba pendo lenu lizidi kuwa jingi sana, katika hekima na ufahamu wote;


Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo, na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu.


Na hawa wenye uhai wanne, kila mmoja alikuwa na mabawa sita; pande zote na ndani wamejaa macho, wala hawapumziki mchana wala usiku, wakisema, Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu, Bwana Mungu Mwenyezi, aliyekuwako na aliyeko na atakayekuja.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo