Zaburi 102:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Maana ninakula majivu kama chakula, Na kukichanganya kinywaji changu na machozi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Majivu yamekuwa chakula changu, machozi nayachanganya na kinywaji changu, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Majivu yamekuwa chakula changu, machozi nayachanganya na kinywaji changu, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Majivu yamekuwa chakula changu, machozi nayachanganya na kinywaji changu, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Ninakula majivu kama chakula changu, nimechanganya kinywaji changu na machozi Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Ninakula majivu kama chakula changu na nimechanganya kinywaji changu na machozi Tazama sura |