Zaburi 102:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Nakesha, tena nimekuwa kama shomoro Aliye peke yake juu ya nyumba. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Ninalala macho wazi, kama ndege mkiwa juu ya paa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Ninalala macho wazi, kama ndege mkiwa juu ya paa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Ninalala macho wazi, kama ndege mkiwa juu ya paa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Nilalapo sipati usingizi; nimekuwa kama ndege mpweke kwenye paa la nyumba. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Nilalapo sipati usingizi, nimekuwa kama ndege mpweke kwenye paa la nyumba. Tazama sura |