Zaburi 102:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Maana siku zangu zinatoweka kama moshi, Na mifupa yangu inateketea kama kinga. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Siku zangu zapita kama moshi; mifupa yangu yaungua kama katika tanuri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Siku zangu zapita kama moshi; mifupa yangu yaungua kama katika tanuri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Siku zangu zapita kama moshi; mifupa yangu yaungua kama katika tanuri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Kwa kuwa siku zangu zinatoweka kama moshi; mifupa yangu inaungua kama kaa la moto. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Kwa kuwa siku zangu zinatoweka kama moshi, mifupa yangu inaungua kama kaa la moto. Tazama sura |