Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 102:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

21 Watu walitangaze jina la BWANA katika Sayuni, Na sifa zake katika Yerusalemu,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Hivyo watu watatangaza jina la Mwenyezi-Mungu huko Siyoni; sifa zake zitatangazwa huko Yerusalemu,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Hivyo watu watatangaza jina la Mwenyezi-Mungu huko Siyoni; sifa zake zitatangazwa huko Yerusalemu,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Hivyo watu watatangaza jina la Mwenyezi-Mungu huko Siyoni; sifa zake zitatangazwa huko Yerusalemu,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Kwa hiyo jina la Mwenyezi Mungu latangazwa huko Sayuni na sifa zake katika Yerusalemu,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Kwa hiyo jina la bwana latangazwa huko Sayuni na sifa zake katika Yerusalemu,

Tazama sura Nakili




Zaburi 102:21
11 Marejeleo ya Msalaba  

Nitalihubiri jina lako kwa ndugu zangu, Katikati ya kusanyiko nitakusifu.


Kuugua kwake aliyefungwa Na kuingie mbele zako. Kwa kadiri ya uweza wa mkono wako Uwahifadhi waliohukumiwa kufa.


Na sisi tulio watu wako, Na kondoo za malisho yako, Tutakushukuru milele; Tutazisimulia sifa zako kizazi hadi kizazi.


Nenda, ukawakusanye wazee wa Israeli pamoja, ukawaambie, BWANA, Mungu wa baba zenu, Mungu wa Abrahamu, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo, amenitokea, akaniambia, Hakika nimewajilieni, tena nimeyaona mnayotendewa huko Misri;


Nami nimesema, Nitawapandisha kutoka katika mateso ya Misri na kuwaingiza katika nchi ya Mkanaani, na Mhiti, na Mwamori, na Mperizi, na Mhivi, na Myebusi, nchi ijaayo maziwa na asali.


Nao waliokombolewa na BWANA watarejea, Watafika Sayuni, wakiimba; Furaha ya milele itakuwa juu ya vichwa vyao; Watapata shangwe na furaha; Huzuni na kuugua zitakimbia.


naam, atukuzwe katika kanisa na katika Kristo Yesu hata vizazi vyote vya milele na milele. Amina.


Bali ninyi ni uzao mteule, ukuhani wa kifalme, taifa takatifu, watu wa milki ya Mungu, mpate kuzitangaza fadhili zake yeye aliyewaita mtoke gizani mkaingie katika nuru yake ya ajabu;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo