Zaburi 102:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Atakapoyaelekea maombi yake aliye mkiwa, Asiyadharau maombi yao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Ataikubali sala ya fukara; wala hatayakataa maombi yao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Ataikubali sala ya fukara; wala hatayakataa maombi yao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Ataikubali sala ya fukara; wala hatayakataa maombi yao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Ataitikia maombi ya mtu mkiwa, wala hatadharau hoja yao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Ataitikia maombi ya mtu mkiwa, wala hatadharau hoja yao. Tazama sura |
tega sikio lako, macho yako yakafumbuke, upate kuyasikiliza maombi ya mtumishi wako, ninayoomba mbele zako wakati huu, mchana na usiku, kwa ajili ya wana wa Israeli, watumishi wako; hapo ninapoziungama dhambi za wana wa Israeli, tulizozifanya juu yako; naam, mimi na nyumba ya baba yangu tumefanya dhambi.