Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 102:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

15 Kisha mataifa wataliogopa jina la BWANA, Na wafalme wote wa dunia utukufu wako;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Mataifa yataliheshimu jina la Mwenyezi-Mungu; wafalme wote duniani wataogopa utukufu wake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Mataifa yataliheshimu jina la Mwenyezi-Mungu; wafalme wote duniani wataogopa utukufu wake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Mataifa yataliheshimu jina la Mwenyezi-Mungu; wafalme wote duniani wataogopa utukufu wake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Mataifa wataogopa jina la Mwenyezi Mungu, wafalme wote wa dunia watauheshimu utukufu wako.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Mataifa wataogopa jina la bwana, wafalme wote wa dunia watauheshimu utukufu wako.

Tazama sura Nakili




Zaburi 102:15
14 Marejeleo ya Msalaba  

basi, usikie huko mbinguni, makao yako, ukatende kwa kadiri ya yote atakayokuomba mgeni huyo; ili watu wote wa dunia wapate kulijua jina lako, na kukucha wewe kama watu wako Israeli, nao wajue ya kuwa nyumba hii, niliyoijenga, imeitwa kwa jina lako.


Hapo niliposikia maneno hayo, nikaketi, nikalia, nikaomboleza siku kadhaa; kisha nikafunga, nikaomba mbele za Mungu wa mbinguni;


Kisha nikawaambia, Mnaona hali hii dhaifu tuliyo nayo, jinsi Yerusalemu ulivyo hali ya ukiwa, na malango yake yalivyoteketezwa kwa moto; haya! Na tuujenge tena ukuta wa Yerusalemu, ili tusiwe shutumu tena.


Nikamwambia mfalme, Mfalme na aishi milele; kwani uso wangu usiwe na huzuni, iwapo mji, ulio mahali pa makaburi ya baba zangu, unakaa ukiwa, na malango yake yameteketezwa kwa moto?


Ee BWANA, wafalme wote wa dunia watakushukuru, Watakapoyasikia maneno ya kinywa chako.


Naam, wafalme wote na wamsujudie; Na mataifa yote wamtumikie.


Mataifa yote uliyoyaumba watakuja; Watakusujudia Wewe, Bwana, Watalitukuza jina lako;


Tazama, utaita taifa usilolijua, na taifa lisilokujua wewe litakukimbilia, kwa sababu ya BWANA, Mungu wako, na kwa ajili yake Mtakatifu wa Israeli; maana amekutukuza.


Malaika wa saba akapiga baragumu, pakawa na sauti kuu katika mbingu, zikisema, Ufalme wa dunia umekwisha kuwa ufalme wa Bwana wetu na wa Kristo wake, naye atamiliki hata milele na milele.


Na mataifa watatembea katika nuru yake. Na wafalme wa nchi huleta utukufu wao ndani yake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo