Zaburi 102:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Bali Wewe, BWANA utaketi ukimiliki milele, Na jina lako litakumbukwa na vizazi vyote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Lakini wewe, ee Mwenyezi-Mungu, watawala milele; jina lako lakumbukwa vizazi vyote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Lakini wewe, ee Mwenyezi-Mungu, watawala milele; jina lako lakumbukwa vizazi vyote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Lakini wewe, ee Mwenyezi-Mungu, watawala milele; jina lako lakumbukwa vizazi vyote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Lakini wewe, Ee Mwenyezi Mungu, umeketi kwenye kiti chako cha enzi milele; sifa zako za ukuu zaendelea vizazi vyote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Lakini wewe, Ee bwana, umeketi katika kiti chako cha enzi milele, sifa zako za ukuu zaendelea vizazi vyote. Tazama sura |