Zaburi 101:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Hatakaa ndani ya nyumba yangu Mtu atendaye hila. Asemaye uongo hatathibitika Mbele ya macho yangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Mwongo yeyote hatakaa nyumbani mwangu; hakuna msema uongo atakayekaa kwangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Mwongo yeyote hatakaa nyumbani mwangu; hakuna msema uongo atakayekaa kwangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Mwongo yeyote hatakaa nyumbani mwangu; hakuna msema uongo atakayekaa kwangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Mdanganyifu hatakaa nyumbani mwangu, yeye asemaye kwa uongo hatasimama mbele yangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Mdanganyifu hatakaa nyumbani mwangu, yeye asemaye kwa uongo hatasimama mbele yangu. Tazama sura |