Zaburi 101:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Macho yangu yatawaelekea waaminifu katika nchi, Hao wakae nami. Yeye aendaye katika njia kamilifu, Ndiye atakayenitumikia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Nitawaangalia kwa wema watu walio waaminifu, wapate kuishi pamoja nami. Watu wanyofu ndio watakaonitumikia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Nitawaangalia kwa wema watu walio waaminifu, wapate kuishi pamoja nami. Watu wanyofu ndio watakaonitumikia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Nitawaangalia kwa wema watu walio waaminifu, wapate kuishi pamoja nami. Watu wanyofu ndio watakaonitumikia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Macho yangu yatawaelekea waaminifu katika nchi, ili waweze kuishi pamoja nami; yeye ambaye moyo wake hauna lawama atanitumikia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Macho yangu yatawaelekea waaminifu katika nchi, ili waweze kuishi pamoja nami; yeye ambaye moyo wake hauna lawama atanitumikia. Tazama sura |