Zaburi 101:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Amsingiziaye jirani yake kwa siri, Huyo nitamwangamiza. Mwenye macho ya kiburi na moyo wa majivuno, Huyo sitamvumilia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Anayemsengenya jirani nitamfutilia mbali; sitamvumilia mwenye majivuno na kiburi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Anayemsengenya jirani nitamfutilia mbali; sitamvumilia mwenye majivuno na kiburi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Anayemsengenya jirani nitamfutilia mbali; sitamvumilia mwenye majivuno na kiburi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Kila amsingiziaye jirani yake kwa siri, huyo nitamnyamazisha; mwenye macho ya dharau na moyo wa kiburi huyo sitamvumilia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Kila amsingiziaye jirani yake kwa siri, huyo nitamnyamazisha; mwenye macho ya dharau na moyo wa kiburi huyo sitamvumilia. Tazama sura |