Zaburi 10:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Njia zake ni thabiti kila wakati. Hukumu zako ziko juu asizione, Adui zake wote awakaripia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Njia za mwovu hufanikiwa daima; kwake hukumu zako ziko mbali na mawazo yake, na huwadharau maadui zake wote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Njia za mwovu hufanikiwa daima; kwake hukumu zako ziko mbali na mawazo yake, na huwadharau maadui zake wote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Njia za mwovu hufanikiwa daima; kwake hukumu zako ziko mbali na mawazo yake, na huwadharau maadui zake wote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Njia zake daima hufanikiwa; hujivuna na amri zako ziko mbali naye, huwacheka kwa dharau adui zake wote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Njia zake daima hufanikiwa; hujivuna na amri zako ziko mbali naye, huwacheka kwa dharau adui zake wote. Tazama sura |