Zaburi 10:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Kwa kiburi chake asiye haki mnyonge anafuatiwa kwa ukali; Na wanaswe kwa hila zizo hizo walizoziwaza. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Kwa kiburi waovu wanawatesa maskini; njama zao ziwanase wao wenyewe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Kwa kiburi waovu wanawatesa maskini; njama zao ziwanase wao wenyewe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Kwa kiburi waovu wanawatesa maskini; njama zao ziwanase wao wenyewe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Katika kiburi chake, mwovu humtesa maskini, waovu na wanaswe katika hila wanazozitunga. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Katika kiburi chake, mwovu humtesa maskini, waovu na wanaswe katika hila wanazozitunga. Tazama sura |