Zaburi 10:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Kwa nini mdhalimu amdharau Mungu. Akisema moyoni mwake, Hutapatiliza? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Ee Mungu, kwa nini mwovu anakudharau, na kusema ati hutamfanya awajibike? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Ee Mungu, kwa nini mwovu anakudharau, na kusema ati hutamfanya awajibike? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Ee Mungu, kwa nini mwovu anakudharau, na kusema ati hutamfanya awajibike? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Kwa nini mtu mwovu anamtukana Mungu? Kwa nini anajiambia mwenyewe, “Hataniita nitoe hesabu”? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Kwa nini mtu mwovu anamtukana Mungu? Kwa nini anajiambia mwenyewe, “Hataniita nitoe hesabu?” Tazama sura |