Zaburi 1:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Kwa kuwa BWANA anaijua njia ya wenye haki, Bali njia ya wasio haki itapotea. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Maana Mwenyezi-Mungu huziongoza njia za waadilifu; lakini njia za waovu zitaishia katika maangamizi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Maana Mwenyezi-Mungu huziongoza njia za waadilifu; lakini njia za waovu zitaishia katika maangamizi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Maana Mwenyezi-Mungu huziongoza njia za waadilifu; lakini njia za waovu zitaishia katika maangamizi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Kwa maana Mwenyezi Mungu huziangalia njia za mwenye haki, bali njia za waovu zitaangamia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Kwa maana bwana huziangalia njia za mwenye haki, bali njia ya waovu itaangamia. Tazama sura |