Zaburi 1:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Bali sheria ya BWANA ndiyo impendezayo, Na sheria yake huitafakari mchana na usiku. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 bali huifurahia sheria ya Mwenyezi-Mungu, na kuitafakari mchana na usiku. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 bali huifurahia sheria ya Mwenyezi-Mungu, na kuitafakari mchana na usiku. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 bali huifurahia sheria ya Mwenyezi-Mungu, na kuitafakari mchana na usiku. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Bali huifurahia Torati ya Mwenyezi Mungu, naye huitafakari hiyo Torati usiku na mchana. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Bali huifurahia Torati ya bwana, naye huitafakari hiyo Torati usiku na mchana. Tazama sura |