Yoshua 9:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC26 Naye akawafanyia hivyo, na kuwaokoa na mkono wa wana wa Israeli, ili wasiwaue. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Basi, alilowatendea ni kuwaokoa mikononi mwa Waisraeli ili wasiangamizwe; hivyo hawakuwaua. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Basi, alilowatendea ni kuwaokoa mikononi mwa Waisraeli ili wasiangamizwe; hivyo hawakuwaua. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Basi, alilowatendea ni kuwaokoa mikononi mwa Waisraeli ili wasiangamizwe; hivyo hawakuwaua. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Kwa hiyo Yoshua akawaokoa mikononi mwa Waisraeli, nao hawakuwaua. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Kwa hiyo Yoshua akawaokoa mikononi mwa Waisraeli, nao hawakuuawa. Tazama sura |