Yoshua 9:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Basi wakuu hao wakatwaa katika vyakula vyao, wala wasitake shauri kinywani mwa BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Hivyo, Waisraeli wakachukua vyakula vyao, bila ya kumwuliza shauri Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Hivyo, Waisraeli wakachukua vyakula vyao, bila ya kumwuliza shauri Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Hivyo, Waisraeli wakachukua vyakula vyao, bila ya kumwuliza shauri Mwenyezi-Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Basi Waisraeli wakavikagua vyakula vyao bila kupata shauri kutoka kwa Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Basi watu wa Israeli wakavikagua vyakula vyao bila kupata shauri kutoka kwa bwana. Tazama sura |