Yoshua 8:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC30 Ndipo Yoshua alijenga madhabahu kwa BWANA, Mungu wa Israeli katika mlima Ebali. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Kisha, Yoshua akamjengea Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, madhabahu mlimani Ebali, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Kisha, Yoshua akamjengea Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, madhabahu mlimani Ebali, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Kisha, Yoshua akamjengea Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, madhabahu mlimani Ebali, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Kisha Yoshua akajenga madhabahu ya Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli, katika Mlima Ebali, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Kisha Yoshua akajenga madhabahu ya bwana, Mungu wa Israeli, katika Mlima wa Ebali, Tazama sura |