Yoshua 8:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC25 Wote walioanguka siku hiyo wanaume kwa wanawake, walikuwa ni elfu kumi na mbili, yaani, watu wote wa mji wa Ai. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Jumla ya watu wa Ai waliouawa siku hiyo, wanaume kwa wanawake, walikuwa 12,000. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Jumla ya watu wa Ai waliouawa siku hiyo, wanaume kwa wanawake, walikuwa 12,000. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Jumla ya watu wa Ai waliouawa siku hiyo, wanaume kwa wanawake, walikuwa 12,000. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Wanaume na wanawake elfu kumi na mbili waliangamia siku ile, yaani watu wote wa Ai. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Watu kumi na mbili elfu, waume kwa wake, waliangamia siku ile, yaani watu wote wa Ai. Tazama sura |