Yoshua 6:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Lakini fedha yote, na dhahabu, na vyombo vya shaba, na chuma, ni vitakatifu kwa BWANA; vitaletwa katika hazina ya BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Lakini fedha yote, dhahabu, vyombo vya shaba na chuma ni vitakatifu kwa Mwenyezi-Mungu; hivyo vitawekwa katika hazina ya Mwenyezi-Mungu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Lakini fedha yote, dhahabu, vyombo vya shaba na chuma ni vitakatifu kwa Mwenyezi-Mungu; hivyo vitawekwa katika hazina ya Mwenyezi-Mungu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Lakini fedha yote, dhahabu, vyombo vya shaba na chuma ni vitakatifu kwa Mwenyezi-Mungu; hivyo vitawekwa katika hazina ya Mwenyezi-Mungu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Fedha yote na dhahabu, vyombo vya shaba na chuma ni vitakatifu kwa Mwenyezi Mungu, lazima viletwe katika hazina yake.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Fedha yote na dhahabu, vyombo vya shaba na chuma ni vitakatifu kwa bwana, lazima viletwe katika hazina yake.” Tazama sura |