Yoshua 5:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Wakati huo BWANA akamwambia Yoshua, Haya, jifanyie visu vya mawe ya gumegume, watahiri tena wana wa Israeli mara ya pili. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Wakati huo, Mwenyezi-Mungu akamwambia Yoshua, “Tengeneza visu vya jiwe gumu ili uwatahiri Waisraeli.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Wakati huo, Mwenyezi-Mungu akamwambia Yoshua, “Tengeneza visu vya jiwe gumu ili uwatahiri Waisraeli.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Wakati huo, Mwenyezi-Mungu akamwambia Yoshua, “Tengeneza visu vya jiwe gumu ili uwatahiri Waisraeli.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Wakati huo Mwenyezi Mungu akamwambia Yoshua, “Tengeneza visu vya gumegume na uwatahiri Waisraeli tena.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Wakati huo bwana akamwambia Yoshua, “Tengeneza visu vya mawe magumu sana na uwatahiri Waisraeli tena.” Tazama sura |