Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yoshua 5:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

15 Huyo kamanda wa jeshi la BWANA akamwambia Yoshua, Vua viatu vyako miguuni mwako; kwa kuwa mahali hapo usimamapo ni patakatifu. Yoshua akafanya hivyo.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Huyo kamanda wa jeshi la Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Vua viatu vyako kwa maana mahali unaposimama ni patakatifu.” Yoshua akafanya hivyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Huyo kamanda wa jeshi la Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Vua viatu vyako kwa maana mahali unaposimama ni patakatifu.” Yoshua akafanya hivyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Huyo kamanda wa jeshi la Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Vua viatu vyako kwa maana mahali unaposimama ni patakatifu.” Yoshua akafanya hivyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Jemadari wa jeshi la Mwenyezi Mungu akajibu, “Vua viatu vyako, kwa maana mahali uliposimama ni patakatifu.” Naye Yoshua akafanya hivyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Jemadari wa jeshi la bwana akajibu, “Vua viatu vyako, kwa maana mahali hapa unaposimama ni patakatifu.” Naye Yoshua akafanya hivyo.

Tazama sura Nakili

Yoshua 5:15
4 Marejeleo ya Msalaba  

Naye akasema, Usikaribie hapa; vua viatu vyako miguuni mwako; maana mahali hapo unaposimama ni mahali patakatifu.

Basi Yeriko ulikuwa umefungwa kabisa kwa sababu ya Waisraeli; hapana mtu aliyetoka wala hapana mtu aliyeingia.

Na sauti hiyo sisi tuliisikia ikitoka mbinguni tulipokuwa pamoja naye katika mlima ule mtakatifu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo