Yoshua 4:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Basi Yoshua akawaita hao watu kumi na wawili, aliokuwa ameteua tangu hapo awali, katika wana wa Israeli, kila kabila mtu mmoja; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Yoshua akawaita hao watu kumi na wawili ambao alikuwa amewateua miongoni mwa Waisraeli, kila kabila mtu mmoja, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Yoshua akawaita hao watu kumi na wawili ambao alikuwa amewateua miongoni mwa Waisraeli, kila kabila mtu mmoja, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Yoshua akawaita hao watu kumi na wawili ambao alikuwa amewateua miongoni mwa Waisraeli, kila kabila mtu mmoja, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Basi Yoshua akawaita watu kumi na wawili ambao alikuwa amewachagua miongoni mwa Waisraeli, mtu mmoja kutoka kila kabila, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Basi Yoshua akawaita watu kumi na wawili ambao alikuwa amewachagua kutoka miongoni mwa Waisraeli, mtu mmoja kutoka kila kabila, Tazama sura |