Yoshua 4:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Basi Yoshua akawaamuru hao makuhani, akawaambia, Haya, kweeni mtoke Yordani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Basi, Yoshua akawaamuru wale makuhani, “Tokeni mtoni Yordani.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Basi, Yoshua akawaamuru wale makuhani, “Tokeni mtoni Yordani.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Basi, Yoshua akawaamuru wale makuhani, “Tokeni mtoni Yordani.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Kwa hiyo Yoshua akawaamuru hao makuhani akisema, “Pandeni kutoka ndani ya Mto Yordani.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Kwa hiyo Yoshua akawaamuru hao makuhani akisema, “Pandeni kutoka ndani ya Mto Yordani.” Tazama sura |