Yoshua 4:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Ikawa, hapo hilo taifa zima lilipokuwa limekwisha vuka Yordani, ndipo BWANA akanena na Yoshua, akamwambia, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Taifa zima lilipokwisha vuka mto Yordani, Mwenyezi-Mungu akamwambia Yoshua, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Taifa zima lilipokwisha vuka mto Yordani, Mwenyezi-Mungu akamwambia Yoshua, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Taifa zima lilipokwisha vuka mto Yordani, Mwenyezi-Mungu akamwambia Yoshua, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Taifa lote lilipokwisha kuvuka Mto Yordani, Mwenyezi Mungu akamwambia Yoshua, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Wakati taifa lote lilipokwisha kuvuka Mto Yordani, bwana akamwambia Yoshua, Tazama sura |