Yoshua 24:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Hao watu wakajibu wakasema, Hasha! Tusimwache BWANA, ili kuitumikia miungu mingine; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Hapo watu wakamjibu, “Hatutaweza kamwe kumwacha Mwenyezi-Mungu na kuitumikia miungu mingine. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Hapo watu wakamjibu, “Hatutaweza kamwe kumwacha Mwenyezi-Mungu na kuitumikia miungu mingine. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Hapo watu wakamjibu, “Hatutaweza kamwe kumwacha Mwenyezi-Mungu na kuitumikia miungu mingine. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Ndipo hao watu wakajibu, “Hili jambo liwe mbali nasi la kumsahau Mwenyezi Mungu na kuitumikia miungu mingine! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Ndipo hao watu wakajibu, “Hili jambo liwe mbali nasi la kumsahau bwana na kuitumikia miungu mingine! Tazama sura |