Yoshua 23:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 bali shikamaneni na BWANA, Mungu wenu, kama mlivyotenda mpaka hivi leo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Bali ambataneni na Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu kama mlivyofanya mpaka leo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Bali ambataneni na Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu kama mlivyofanya mpaka leo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Bali ambataneni na Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu kama mlivyofanya mpaka leo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Bali mtashikamana kwa uthabiti na Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, kama vile mmefanya hadi sasa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Bali mtashikamana kwa uthabiti na bwana, Mungu wenu, kama vile ambavyo mmefanya mpaka sasa. Tazama sura |
Na yule nabii, au yule mwotaji wa ndoto, na auawe, kwa kuwa amesema yaliyopotoka juu ya BWANA, Mungu wenu, aliyewatoa katika nchi ya Misri, akakukomboa katika nyumba ya utumwa, apate yule mtu kukupotoa katika njia aliyokuamuru BWANA, Mungu wako, uiendee. Ndivyo utakavyouondoa uovu utoke katikati yako.