Yoshua 22:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 naye akawaambia, Ninyi mmeyafuata hayo yote mliyoamriwa na Musa, mtumishi wa BWANA, nanyi mmeisikia sauti yangu katika yote niliyowaamuru mimi; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 akawaambia, “Nyinyi mmefuata yale yote Mose, mtumishi wa Mwenyezi-Mungu, aliyowaamuru na mmetii maagizo niliyowaamuru. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 akawaambia, “Nyinyi mmefuata yale yote Mose, mtumishi wa Mwenyezi-Mungu, aliyowaamuru na mmetii maagizo niliyowaamuru. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 akawaambia, “Nyinyi mmefuata yale yote Mose, mtumishi wa Mwenyezi-Mungu, aliyowaamuru na mmetii maagizo niliyowaamuru. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 naye akawaambia, “Mmeshafanya yale yote Musa mtumishi wa Mwenyezi Mungu aliyowaamuru, nanyi mmenitii kwa kila jambo nililowaamuru. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 naye akawaambia, “Mmeshafanya yale yote Musa mtumishi wa bwana aliyowaamuru, nanyi mmenitii kwa kila jambo nililowaamuru. Tazama sura |