Yoshua 21:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Kisha wakawapa katika kabila la wana wa Yuda, na katika kabila la wana wa Simeoni, miji hii iliyotajwa hapa kwa majina; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Yafuatayo ni majina ya miji kutoka kwenye maeneo ya kabila la Yuda na Simeoni ambayo ilitolewa kwa Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Yafuatayo ni majina ya miji kutoka kwenye maeneo ya kabila la Yuda na Simeoni ambayo ilitolewa kwa Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Yafuatayo ni majina ya miji kutoka kwenye maeneo ya kabila la Yuda na Simeoni ambayo ilitolewa kwa Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Kutoka makabila ya Yuda na Simeoni waligawa miji ifuatayo kwa majina Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Kutoka makabila ya Yuda na Simeoni waligawa miji ifuatayo kwa majina Tazama sura |