Yoshua 19:48 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC48 Huu ndio urithi wa kabila la wana wa Dani kwa kufuata jamaa zao; miji hii pamoja na vijiji vyake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema48 Hizo ndizo sehemu zilizopewa koo za kabila la Dani; miji hiyo pamoja na vijiji vyake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND48 Hizo ndizo sehemu zilizopewa koo za kabila la Dani; miji hiyo pamoja na vijiji vyake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza48 Hizo ndizo sehemu zilizopewa koo za kabila la Dani; miji hiyo pamoja na vijiji vyake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu48 Miji hii na vijiji vyake ilikuwa urithi wa kabila la Dani, kufuatana na koo zao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu48 Miji hii na vijiji vyake ndio iliyokuwa urithi wa kabila la Dani, ukoo kwa ukoo. Tazama sura |