Yoshua 19:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC31 Huu ndio urithi wa kabila la wana wa Asheri kwa kufuata jamaa zao; miji hii pamoja na vijiji vyake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema31 Sehemu hizo ndizo zilizopewa koo za kabila la Asheri; miji hiyo pamoja na vijiji vyake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 Sehemu hizo ndizo zilizopewa koo za kabila la Asheri; miji hiyo pamoja na vijiji vyake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 Sehemu hizo ndizo zilizopewa koo za kabila la Asheri; miji hiyo pamoja na vijiji vyake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu31 Miji hii pamoja na vijiji vyake ilikuwa urithi wa kabila la Asheri, kufuatana na koo zao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu31 Miji hii pamoja na vijiji vyake ilikuwa ndio urithi wa kabila la Asheri, ukoo kwa ukoo. Tazama sura |