Yoshua 19:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC24 Kisha sehemu ya tano ilitokea kwa ajili ya kabila la wana wa Asheri kwa kufuata jamaa zao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Kura ya tano ilizipata koo za kabila la Asheri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Kura ya tano ilizipata koo za kabila la Asheri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Kura ya tano ilizipata koo za kabila la Asheri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Kura ya tano ikaangukia kabila la Asheri, kufuatana na koo zao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Kura ya tano ikaangukia kabila la Asheri, ukoo kwa ukoo. Tazama sura |