Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yoshua 19:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

23 Huu ndio urithi wa kabila la wana wa Isakari kwa kufuata jamaa zao; miji hiyo pamoja na vijiji vyake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Hizo ndizo sehemu zilizopewa koo za kabila la Isakari; miji hiyo pamoja na vijiji vyake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Hizo ndizo sehemu zilizopewa koo za kabila la Isakari; miji hiyo pamoja na vijiji vyake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Hizo ndizo sehemu zilizopewa koo za kabila la Isakari; miji hiyo pamoja na vijiji vyake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Miji hii pamoja na vijiji vyake ilikuwa urithi wa kabila la Isakari, kufuatana na koo zao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Miji hii pamoja na vijiji vyake ilikuwa urithi wa kabila la Isakari, ukoo kwa ukoo.

Tazama sura Nakili




Yoshua 19:23
2 Marejeleo ya Msalaba  

na mpaka ukafikia hadi Tabori, na Shahasuma na Beth-shemeshi; na mwisho wa mpaka wao ulikuwa katika mto wa Yordani; miji kumi na sita, pamoja na vijiji vyake.


Kisha sehemu ya tano ilitokea kwa ajili ya kabila la wana wa Asheri kwa kufuata jamaa zao.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo