Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yoshua 16:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

2 kisha ikatoka huko Betheli kwendelea Luzu, kisha ikaendelea hata kuufikia mpaka wa Waarki mpaka Atarothi;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Kutoka Betheli mpaka ulielekea Luzu ukapita Atarothi ambako waliishi Waarki.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Kutoka Betheli mpaka ulielekea Luzu ukapita Atarothi ambako waliishi Waarki.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Kutoka Betheli mpaka ulielekea Luzu ukapita Atarothi ambako waliishi Waarki.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Ukaendelea kutoka Betheli (ndiyo Luzu), ukavuka kuingia eneo la Waarki huko Atarothi,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Ukaendelea kutoka Betheli (ndiyo Luzu), ukavuka kuingia eneo la Waariki huko Atarothi,

Tazama sura Nakili




Yoshua 16:2
8 Marejeleo ya Msalaba  

Akaita jina la mahali pale Betheli; lakini jina la mji ule hapo kwanza uliitwa Luzu.


Ikawa, Daudi alipofika juu, hapo Mungu alipoabudiwa, tazama, Hushai, Mwarki, akaja kumlaki na joho lake likiwa limeraruliwa, tena akiwa na udongo kichwani mwake.


Basi Hushai, rafiki wa Daudi, akaingia ndani ya mji; naye Absalomu akafika akaingia Yerusalemu.


Ikawa, Hushai, Mwarki, rafiki wa Daudi, alipomjia Absalomu, Hushai akamwambia Absalomu, Na aishi mfalme, aishi mfalme.


na Ahithofeli alikuwa mshauri wake mfalme; na Hushai, Mwarki, alikuwa rafiki yake mfalme;


Na hizi ndizo miliki yao na makao yao; Betheli na vijiji vyake, na upande wa mashariki Naara, na upande wa magharibi Gezeri na vijiji vyake; na Shekemu pia na vijiji vyake, hata Aza na vijiji vyake;


Kisha mpaka ukaendelea kutoka hapo na kufikia mji wa Luzu, ubavuni mwa Luzu (ndio Betheli), kwa upande wa kusini; kisha mpaka ukateremkia Ataroth-adari, karibu na mlima ulio upande wa kusini wa Beth-horoni wa chini.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo