Yoshua 14:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Vile vile kama BWANA alivyomwamuru Musa, hao wana wa Israeli walifanya hivyo, nao wakaigawanya hiyo nchi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Basi, Waisraeli wakaigawanya nchi kama vile Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Basi, Waisraeli wakaigawanya nchi kama vile Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Basi, Waisraeli wakaigawanya nchi kama vile Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Kwa hiyo Waisraeli wakagawana ile nchi, kama vile Mwenyezi Mungu alivyomwagiza Musa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Kwa hiyo Waisraeli wakagawana ile nchi, kama vile bwana alivyomwagiza Musa. Tazama sura |