Yoshua 13:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 na miji yote ya Sihoni mfalme wa Waamori, aliyetawala katika Heshboni, hata mpaka wa wana wa Amoni; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 pamoja na miji ya mfalme Sihoni wa Waamori, aliyetawala huko Heshboni hadi mpakani mwa Waamoni, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 pamoja na miji ya mfalme Sihoni wa Waamori, aliyetawala huko Heshboni hadi mpakani mwa Waamoni, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 pamoja na miji ya mfalme Sihoni wa Waamori, aliyetawala huko Heshboni hadi mpakani mwa Waamoni, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 nayo miji yote ya Sihoni mfalme wa Waamori, aliyetawala Heshboni, hadi mpakani mwa Waamoni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 nayo miji yote ya Sihoni mfalme wa Waamori, aliyetawala Heshboni, hadi mpakani mwa Waamoni. Tazama sura |