Yoshua 11:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Yoshua akawafanyia vile vile kama BWANA alivyomwamuru; akawakata farasi wao, na kuteketeza magari yao kwa moto. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Yoshua aliwakatakata mishipa farasi wao wote na kuyateketeza magari yao kwa moto, kama Mwenyezi-Mungu alivyomwagiza. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Yoshua aliwakatakata mishipa farasi wao wote na kuyateketeza magari yao kwa moto, kama Mwenyezi-Mungu alivyomwagiza. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Yoshua aliwakatakata mishipa farasi wao wote na kuyateketeza magari yao kwa moto, kama Mwenyezi-Mungu alivyomwagiza. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Yoshua akawatendea kama Mwenyezi Mungu alivyoamuru. Akakata mishipa ya nyuma ya miguu ya farasi wao na kuchoma moto magari yao ya vita. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Yoshua akawatendea kama bwana alivyoamuru. Akakata mishipa ya nyuma ya miguu ya farasi wao na kuchoma moto magari yao ya vita. Tazama sura |