Yoshua 11:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Basi Yoshua akaenda, na watu wote wa vita pamoja naye, ili kupigana nao hapo penye maji ya Meromu ghafla; wakawashambulia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Basi, ghafla kwenye chemchemi ya Meromu Yoshua pamoja na jeshi lake lote akawatokea na kuwashambulia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Basi, ghafla kwenye chemchemi ya Meromu Yoshua pamoja na jeshi lake lote akawatokea na kuwashambulia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Basi, ghafla kwenye chemchemi ya Meromu Yoshua pamoja na jeshi lake lote akawatokea na kuwashambulia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Hivyo Yoshua na jeshi lake lote wakaja dhidi yao ghafula kwenye Maji ya Meromu na kuwashambulia, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Hivyo Yoshua pamoja na jeshi lake lote wakaja dhidi yao ghafula kwenye Maji ya Meromu kuwashambulia, Tazama sura |