Yoshua 10:36 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC36 Kisha Yoshua akakwea kutoka hapo Egloni, na Israeli wote pamoja naye, hadi wakafika Hebroni; nao wakapigana nao; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema36 Halafu kutoka Egloni Yoshua na Waisraeli wote wakaenda mpaka Hebroni, wakaushambulia Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND36 Halafu kutoka Egloni Yoshua na Waisraeli wote wakaenda mpaka Hebroni, wakaushambulia Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza36 Halafu kutoka Egloni Yoshua na Waisraeli wote wakaenda mpaka Hebroni, wakaushambulia Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu36 Kisha Yoshua na Waisraeli wote wakapanda kutoka Egloni hadi Hebroni, na kuushambulia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu36 Kisha Yoshua akapanda kutoka Egloni kwenda Hebroni akiwa pamoja na Israeli yote na kuushambulia. Tazama sura |