Yoshua 10:29 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC29 Kisha Yoshua akapita kutoka hapo Makeda, mpaka Libna, na Israeli wote pamoja naye, nao wakapiga Libna; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Kutoka Makeda, Yoshua pamoja na Waisraeli wote walikwenda Libna wakaushambulia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Kutoka Makeda, Yoshua pamoja na Waisraeli wote walikwenda Libna wakaushambulia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Kutoka Makeda, Yoshua pamoja na Waisraeli wote walikwenda Libna wakaushambulia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Ndipo Yoshua akaondoka Makeda akiwa pamoja na Israeli yote hadi mji wa Libna na kuushambulia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Ndipo Yoshua akaondoka Makeda akiwa pamoja na Israeli yote mpaka mji wa Libna na kuushambulia. Tazama sura |