Yoshua 10:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC26 Baadaye Yoshua akawapiga, na kuwaua, akawatundika katika miti mitano; nao wakawa wametundikwa katika hiyo miti hadi jioni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Baadaye, Yoshua aliwanyonga kwa kuwaangika kwenye miti mitano ambako walitundikwa mpaka jioni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Baadaye, Yoshua aliwanyonga kwa kuwaangika kwenye miti mitano ambako walitundikwa mpaka jioni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Baadaye, Yoshua aliwanyonga kwa kuwaangika kwenye miti mitano ambako walitundikwa mpaka jioni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Ndipo Yoshua akawapiga na kuwaua wale wafalme na kuwatundika juu ya miti mitano, nao wakaachwa wakining’inia juu ya ile miti hadi jioni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Ndipo Yoshua akawapiga na kuwaua wale wafalme na kuwatundika juu ya miti mitano, nao wakaachwa wakining’inia juu ya ile miti hadi jioni. Tazama sura |