Yoshua 10:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Basi Yoshua akasema, Haya, vingirisheni mawe makubwa mdomoni mwa lile pango, kisha wekeni watu hapo ili kuwalinda; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Yoshua akasema, “Vingirisheni mawe makubwa mlangoni mwa pango na kuweka walinzi hapo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Yoshua akasema, “Vingirisheni mawe makubwa mlangoni mwa pango na kuweka walinzi hapo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Yoshua akasema, “Vingirisheni mawe makubwa mlangoni mwa pango na kuweka walinzi hapo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 akasema, “Vingirisheni mawe makubwa kwenye mlango wa pango, tena mweke walinzi wa kulilinda. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 akasema, “Vingirisheni mawe makubwa kwenye mdomo wa hilo pango, tena wekeni walinzi wa kulilinda. Tazama sura |