Yoshua 10:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Haikuwapo siku nyingine mfano wa siku hiyo katika siku zilizotangulia mbele yake wala katika hizo zilizofuata baada yake, hata ikawa yeye BWANA kuisikia sauti ya binadamu; kwa kuwa BWANA alipiga vita kwa ajili ya Israeli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Siku kama hiyo haijawahi kuwako kamwe wala haijapata kuonekana tena, siku ambayo Mwenyezi-Mungu amemwitikia binadamu kwa namna hiyo; maana Mwenyezi-Mungu mwenyewe aliwapigania Waisraeli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Siku kama hiyo haijawahi kuwako kamwe wala haijapata kuonekana tena, siku ambayo Mwenyezi-Mungu amemwitikia binadamu kwa namna hiyo; maana Mwenyezi-Mungu mwenyewe aliwapigania Waisraeli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Siku kama hiyo haijawahi kuwako kamwe wala haijapata kuonekana tena, siku ambayo Mwenyezi-Mungu amemwitikia binadamu kwa namna hiyo; maana Mwenyezi-Mungu mwenyewe aliwapigania Waisraeli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Hakujakuwa na siku nyingine kama hiyo kabla au baada, siku ambayo Mwenyezi Mungu alimsikiliza mwanadamu. Hakika Mwenyezi Mungu alikuwa akiwapigania Israeli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Haijakuwepo siku nyingine kama hiyo kabla au baada, siku ambayo bwana alimsikiliza mwanadamu. Hakika bwana alikuwa akiwapigania Israeli. Tazama sura |