Yoshua 1:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Kila mahali zitakapopakanyaga nyayo za miguu yenu, nimewapa ninyi, kama nilivyomwapia Musa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Kila mahali mtakapokanyaga nimewapeni kama nilivyomwahidi Mose. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Kila mahali mtakapokanyaga nimewapeni kama nilivyomwahidi Mose. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Kila mahali mtakapokanyaga nimewapeni kama nilivyomwahidi Mose. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Kila mahali nyayo za miguu yenu zitakapokanyaga nimewapa, kama vile nilivyomwahidi Musa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Kila mahali nyayo za miguu yenu zitakapokanyaga nimewapa, kama vile nilivyomwahidi Musa. Tazama sura |