Yona 1:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Lakini BWANA alituma upepo mkuu baharini, ikawa tufani kubwa baharini, hata merikebu ikawa karibu kuvunjika. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Lakini Mwenyezi-Mungu akavumisha upepo mkali baharini, ikatokea dhoruba kali, meli ikawa karibu kabisa kuvunjika. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Lakini Mwenyezi-Mungu akavumisha upepo mkali baharini, ikatokea dhoruba kali, meli ikawa karibu kabisa kuvunjika. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Lakini Mwenyezi-Mungu akavumisha upepo mkali baharini, ikatokea dhoruba kali, meli ikawa karibu kabisa kuvunjika. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Ndipo Mwenyezi Mungu akatuma upepo mkali baharini, nayo dhoruba kali sana ikavuma hata meli ikawa hatarini ya kuvunjika. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Ndipo bwana akatuma upepo mkali baharini, nayo dhoruba kali sana ikavuma hata meli ikawa hatarini kuvunjika. Tazama sura |